Kuna baadhi ya mitandao imepost na kuandika habari kuwa mchumba wake
msanii wa kizazi kipya anetamba na kibao chake NASEMA NAO na MUZIKI GANI
ame chumbiwa na mwanaume mwingie. Katika kukanusha uvumi huo msanii
huyo amepost picha ifuatayo Instagram na kuandika ujumbe chini yake unao
dhihirsha mapenzi yake kwa mchumba wake huyo.

No comments:
Post a Comment