Penny alifunguka hayo alipokuwa
akizungumza na paparazi wetu na kuainisha kuwa tangu amwagane na Diamond
(Nasibu Abdul) ambaye kila mtu alikuwa anamjua, bado hajabahatika kuwa
na mtu mwingine.
“Bado
nipo nipo sana na kama ujuavyo, mimi siwezi kuyaficha mapenzi kama
nimepata mpenzi wala haichukui muda kila mtu atajua tu,” alisema Penny
.
.
shop now
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment