Monday, 7 April 2014

PENNY AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU MAPENZI

Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na paparazi wetu na kuainisha kuwa tangu amwagane na Diamond (Nasibu Abdul) ambaye kila mtu alikuwa anamjua, bado hajabahatika kuwa na mtu mwingine.
“Bado nipo nipo sana na kama ujuavyo, mimi siwezi kuyaficha mapenzi kama  nimepata mpenzi wala haichukui muda kila mtu atajua tu,” alisema Penny
Prezenta wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ katika pozi.

No comments:

Post a Comment