Picha: Chui na fisi wakila pamoja,Ushawahi Kuona?Jionee hapa
Sio
kila siku mzungu wa nane wakati mwingine mnaonyeshana makopakopa tu
kikubwa maisha yaendelee, chui na fisi wanakula pamoja!! hahaha ni mara
chache sana kutokea lakini ndo imetokea huko Little Governors Camp ndani
ya Masai Mara.
No comments:
Post a Comment