Wednesday, 9 April 2014

SHOW YA MKASI KUPELEKWA NCHINI KENYA, STORI IPO HAPA

 

Msanii Ambwene Yessayah anayejulikana kwa jina la A.Y hivi karibuni story ilivuma kuwa anataka kupeleka show yake ya  Mkasi nchini kenya, siku ya jana msanii huyo alikuwa na kundi zima la watayarisha wa kipindi hicho nchini kenyaAY1   

Mkasi TV kipindi cha maswali ya burani kinacho wahoji mastaa wakubwa kinachorushwa na kituo cha EATV ambacho kina milikiwa na A.Y, TV presenter Salama Jabir na producer Josh Murunga


 
Mtandao mmoja nchini kenya ulipata nafasi ya kumhoji A.Y na alifunguka hivi “We are here, first of all to look at possible business expansion as far as our show is concerned,”

No comments:

Post a Comment