Tuesday, 15 April 2014

SIKU CHACHE KABLA YA MAREHEMU MZEE GURUMO HAJAFA ALIMUANDIKIA DIAMOND NYIMBO

Siku ya Jumapili mchana tasnia ya muziki Tanzania ilimpoteza jembe mzee Muhudin Gurumo, ambaye leo asubuhi aliaswaliwa nyumbani kwake Tabata Kisukuru na baada ya hapo safari ikaanza kuelekea kijijini kwake Masaki Kisarawe kwa ajili ya mazishi.Imefahamika kuwa siku chache kabla ya kifo chake Mzee Gurumo alimwandikia Diamond Platinum wimbo lakini hakufanikiwa kumkabidhi mpaka anaaga dunia, lakini pia kumbe mzee Gurumo aliwahi kumsuprize Diamond kwa kuibuka kwenye moja kati ya shoo zake. 
Zaidi huyu hapa Diamond anafunguka.


No comments:

Post a Comment