Katika nyimbo hii kwa ajili ya miaka 50 ya Muungano imeimbwa na wasanii wakali nchini Tanzania, kwa uchchea tu yupo Khadija Kopa, Madee, Mzee Yusuf, Vanessa Mdee, Godzila, Roma, Ommy Dimpoz, Nikii wa Pili, Domokaya, Abdul Kiba pia wapo wale mafahali wawili ambao hawezi kukaa zizi moja nawaongelea Ali Kiba pamoja na Diamond Platnumz pia wasanii kibao huku mkono wa Master J ukihusika...Video hapa chini inaonesha wasani kibao wakiwa wanataarisha nyimbo hio, bado haijajulikana itatoka lini...
No comments:
Post a Comment