Mashindano ya Kora hufanyika katika mitandao ya kijamii sana sana Facebook huku nia ikiwa ni vipi Mashabiki wako wanakufatilia na kukupenda na pia kukupa support, mashindano haya huenda hii, huwa waandaji wa shindano hili huweka picha ilio na wanamuziki tofauti kutoka Afrika kama watano hivi, kisha wewe kama shabiki unachotakiwa kufanya ni kulike page ilo shindano iitwayo Kora Awards kisha uandike jina la msanii wako kama ameonekana kwenye picha hapo utakua umeshapiga kura... sasa baada ya shindano hili kwenda kwa muda mrefu sasa, waandaji wameamua kutoa top 20 yao ambao ni hao chini, huku upande wa Tanzania anatuwakilisha Msanii Diamond Platnumz akiwa namba 8 akiwaburuza wanamziki kama P-Square pamoja na majirani zetu Uganda na Kenya....

No comments:
Post a Comment