.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

EVANS AVEVA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS SIMBA KESHO

AVEVA (KUSHOTO) AKIWA NA BAADHI YA WADAU, BENNY KISAKA NA JUMA PINTO AMBAYE NI MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO TANZANIA (TASWA).

Mmoja wa watakaowania nafasi ya Rais mpya wa klabu ya Simba, Evans Aveva atachukua fomu kesho.
Taarifa zinasema Aveva ataongozana na rafiki zake kadhaa ambao watamsindikiza katika makao makuu ya Simba kuchukua fomu hizo.
Aveva ni kati ya wanachama wa Simba wanaounda kundi la Friends of Simba na amewahi kuliongoza kwa mafanikio.
Ni kati ya wanaopewa nafasi kubwa kuitwaa nafasi hiyo baada ya Zacharia Hans Pope kukosa nafasi ya kushiriki.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad