.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED WAMTOLEA UVIVU STEVEN GERALD

Banner banter: A plane trailed the message 'United 20 Gerrard 0' over Anfield in reference to league titles
 Leo ndo zimechezwa mechi za mwisho za ligi kuu Uingereza msimu wa 2013/2014 huku Manchester City wakiibuka mabingwa, sasa Mashabiki wa Manchester United wamewatania Liverpool haswahaswa Gerald ambae ni Kapteni wa timu kwa kukosa ubingwa kwa miaka 25 sasa, walichofanya mashabiki wa United ni kupeperusha maneno yasemayo "United 20 - Gerald 0" wakiwa na maana United imebeba kombe la ligi mara 20 alafu Gerand hajawahi beba hata siku moja.....

Blog ya Vijana inapenda kuwashukuru watembeleaji wake kwa mda wote tuliokua pamoja katika msimu huu, habari zote zilikua zinapatikana hapa... sasa tuhamie Kombe la Dunia ambalo imebaki siku kadha tu kabla halijaanza kutimua vumbi huko Brazil...
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad