Friday, 9 May 2014

WALE MABWINGWA WA WIZI WA PIKIPIKI WAKAMATWA LEO KIJITONYAMA

Vijana wawili sasa hivi live Kijitonyama wakitumia pikipiki wamemfuatilia mdada aliyetokea Access Bank na kumpora mkoba wake kwa bahati nyuma yao alikuwepo msamaria mwema anakuja na Toyota Carina alipowaona in action akawafuata na gari na kuwasukumia mtaroni, ambapo wananchi waliwadaka na kuwapa kipondo cha mbwa mwizi ona hapa baada ya kipondo wapo Hoiiiii



No comments:

Post a Comment