Thursday, 8 May 2014

WEMA SEPETU ANGARA HUKO NIGERIA CHEKI HAPA..

Ukiambiwa Wema Sepetu ana nyota ya kupendwa basi usibishe, aya mara ya mwisho tumeona watu wa kiNigeria wakimsifia muigizaji wa Bongo Movies basi kumbukumbu yangu inaniambia alikua Marehemu Steven Kanumba... sasa ni Wema  Sepetu ona walichokifanya,.... yani profile picture ya Instagram hii page ya Nollywood Glamour wamemuweka Wema sepetu huku wakitupia picha kadhaa za muigizaji huyu.....




No comments:

Post a Comment