Thursday, 26 June 2014

IRENE UWOYA AELEZA ANAVYOPENDA KUVUTA HII KITU......


She is back again your superstaa irene uwoya, leo ameamua kujianika kupitia mitandao ya kijamii na kuwaonyesha mashabiki zake jinsi anavyovutiwa na ulevi wa kuvuta shisha, it is so good tumekuwa tukiskia tuu flani anavuta sigara, sijui ganja but ushahidi hamna, okay so happy for you kwani unaishi maisha yako na sio ya kuigiza one love ....

No comments:

Post a Comment