Friday, 27 June 2014

LULU AKANA KUSHIRIKISHWA KWENYE NYIMBO..CHEKI ALIVVYO WACHANA


Mwanadada Elizabeth Michael LULU amekanusha kushirikishwa katika nyimbo wa wasaani wa HIP HOP  nchini Tanzania MAPACHA  iitwato - time for the money.
Mkali huyo wa bongo movies amekata kabis kwamba hausiki na nyimbo hiyo
 
MAPACHA WALIPOHOJIWA NA CLOUDS FM KATIKA KIPINDI CHA XXL WALISEMA WAMEFANYA KAZI NA LULU 


 ILA LULU MWENYEWE KUPITIA MTANDAO WA INSTAGRAM KASEMA KUWA YEYE HAJAHUSIKA WALA HATA IDEA HANA KABISAA..



No comments:

Post a Comment