.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

P SQUARE WAZIDI KUTINGISHA GAME YA MUZIKI, SASA WAFANYA COLLABO NA MSANI HUYU KUTOKA MAREKANI

Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.29 PMWalianza kuchukua headlines za kolabo za kimataifa baada ya kushirikiana na Akon pamoja na Rick Ross ila time hii anaefata ni HUYU..

Wakiwa wanaifanyia kazi album yao ya sita, P Square kutoka Nigeria hawajazungumza maneno ya ziada baada ya kuthibitisha kwamba wamemshirikisha rapper T.I kwenye moja ya nyimbo za hiyo album.
Hizi picha ni wakati wanafanya video ya kolabo yenyewe nchini Marekani.
Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.39 PM
Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.49 PM
Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.20 PM
Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.04 PM
Screen Shot 2014-06-26 at 11.50.01 PM

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad