Baada ya mastaa wengi kuwaanika wapenzi wao, Romyjons naye ameamua kumuanika mchuchu wake, staa huyo ambaye ni ndugu wa karibu wa mbongo fleva Diamondplatnumz alipost picha hiyo ikiwa na maneno yanasema Mi N MY DARLEEN, akiwa anamaainisha yeye na mpenzi wake
No comments:
Post a Comment