Friday, 27 June 2014

WABONGO WATOA VIDEO YA NYIMBO YA SHETTA NA DIAMOND "KEREWA''

Ukitaka uamini kwamba wabongo nio noma na wanapenda vitu vizuri basi hii nimoja ya kitui ambayo inaweza ipa nguvu sentesi yangu.. Diamond na Shetta wameimba nyimbo ya Kerewa ila hawajatoa video mpaka sasa, sasa watu wanaisubulia sana kuona wamechoka kusubili wameamuia kufanya wenyewe sasa ....embu icheki video hapo..

No comments:

Post a Comment