NA BLOG YA VIJANA
Ni hali ya kusikitisha sana baada Kijana kupigwa Risasi akiwa anatafuta Familia yake pindi vita inaendelea.. Kijana huyo alikua anatafuta Familia yake ila akashanga amepigwa Risasi mbele ya Camera na karibu zaidi ya watu waokoja...ila waokoja waliogopa kwenda kumsaidia kwa kua nao waliogopa kupigwa risasi, Kijana huyo akiwa anajaribu kuinuka alishangaa kupigwa risasi nyingine, baada ya uchunguzi ilionekana alipigwa na Sniper

Hapo ni kijana huyo akijaribu kuongea na simu huku akimuomba mpiga picha masaidie kutafuta familia yake |
Wakiwa wanaelekea kwenye jumba bovu, Risasi moja ilipigwa lakini haikumpata mtu, ila risasi ya pili ilimpata kijana mwenye tshirt ya kijana |
Baada ya kupigwa risasi ya Pili, Camera Man alimwambia kijana huyo kama anaweza kusogea kidogo, ili aende upande wa pili ili wamsaidie, ila kijana huyo alisema haweza kwani damu zinamtoka sana. |
Mchumba wa wanajeshi Tal Yifrach akiwa amelala katika kaburi la mchumba wake baada ya maziko.... Tal Yifrach ni mwanajeshi aliefariki katika mapambano hayo |
Ndugu na rafiki wa Tal Yifrach wakiwa na huzuni pindi ya Mazishi |
Kijana wa kiParestina akijaribu kutafuta sehemu ya kujificha katika moja ya msikiti uliofunjwa katika vita hivyo |
0 comments :
Post a Comment