| Raisi wa Nigeria Goodluck Jonathan akisalimiana na wasichana waliotoroka walipokua wametekwa na Boko Haram |
| Wazazi wa watoto waliotekwa na Boko Haram wakiwa wamesimama mbele ya Raisi Goodluck Jonathan katika kikao chao leo |
| Hawa ndio wanawake waliotoroka walipokua wametekwa na Boko haram |
| Martha Mark ni mama mzazi wa Monica Mark ambae pia ametekwa na Boko Haram, akionesha picha ya binti yake huku akitokwa na machozi ya Huzuni |
| Kiongozi wa Kundi la Boko Haram Abubakar Sheku, |
No comments:
Post a Comment