.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MCHEZAJI WA ARSENAL, JACK WILSHIRE ACHIZIKA NA MVUA, CHEKI ALICHOKIFANYA

Wakati kikosi cha Arsenal kikiendelea na maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza ambao umepangwa kuanza akutimua vumbi lake kuanzia August 16, wachezaji wa klabu hiyo wameonakana kufurahia maisha ya nchini Austria walipoweka kambi.

Kiungo Jack Wilshire amedhihirisha furaha waliyonayo huko kambini baada ya kufurahia mvua kubwa iliyoanguka wakiwa mazoezini, ambapo ameonekana akicheza na kuogelea katika maji yaliyokuwa yamekuama kando kando ya uwanja wanaofanyia mazoezi.

Hali hiyo imetafsiriwa kama sehemu ya furaha kwa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 22, ambaye alijiunga na wachezaji wenzake kambini majuma mawili yaliyopita akitokea mapumzikoni nchini Marekani.


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad