Thursday, 18 September 2014

BAADHI YA WASHIRIKI WATAKAO INGIA KWENYE JUMBA LA BIGBROTHERWATAJWA

Tumekua tukizoea yakwamba washiriki wanao ingia kwenye jumba la BigBrotherAfrika huwa wanatangazwa siku ya ufunguzi ila hali imekua tofauti katika msimu huu kwani Uongozi umetangaza baadhi ya washiriki kwa kuweka Interview zao kwenye Website ya BigBrotherAfrika.... washiriki waliotangazwa mpaka sasa ni Alusa, Butterphily na Ellah
BBA First 3

No comments:

Post a Comment