Sunday, 21 September 2014

ISSA MICHUZI AIFATA IPHONE6 NCHINI MAREKANI MWENYEWE..

Mwandishi Issa Michuzi ambae pia ndo mmiliki wa blog ya IssaMichuzi ambae kwa sasa yupo nchini Marekani kikazi hakuona hofu na kuamua kuwaonesha mashabiki wake katika mtandao wa Instagram foleni aliokutana nayo alipokwenda kununua simu yake mpya na pia toleo jipya ya Iphone inayojulikana kama Iphone6



 Hii nto "Selfie" yakwanza alipoiga Mwamdishi Issa Michuzi mara tu baada ya kununua simu hio ambayo ndo simu ya bei ya juu kwa sasa.




No comments:

Post a Comment