Friday, 12 September 2014

MASTAA WA MAREKANI WAFANYA HONEYMOON NCHINI TANZANIA

Screen Shot 2014-09-12 at 1.56.17 AMSiku hizi stori za mastaa wa dunia kuja kuitembelea Tanzania sio moja wala mbili manake wamekua wakija wengi tu na hawaachi kuipa nchi hii matangazo ya bure kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Screen Shot 2014-09-12 at 1.32.18 AM
Screen Shot 2014-09-12 at 1.32.25 AM
Mastaa wengine waliotua kwenye ardhi ya Jakaya time hii ni mwigizaji staa wa Marekani Gabrielle Union na mumewe Dwyane Wade mcheza kikapu wa Miami heat ambapo wameifanya Serengeti Tanzania kuwa sehemu nyingine waliyoitembelea duniani wakiwa kwenye honeymoon yao.Mara tu baaada ya kufunga ndoa nchini Marekani wiki kadha zilizopita

Gabrielle ana wafuasi zaidi ya milioni mbili na laki tatu kwenye page yake ya insta alikopost hizi picha za Tanzania.

No comments:

Post a Comment