Wednesday, 17 September 2014

MESSI ALIJIUNGA BARCELONA TAREHE HII


Tarehe kama ya leo miaka 14iliopita, Fc Barcelona ilibadilisha maisha ya kijana wa miaka 13 Lionel Messi baada ya kujiunga na klabu hio. Kwa kukumbuka siku hii Barcelona waliandika kupitia mtandano wa kijamii wa twitter kwa kuweka paspoti ya Lionel Messi na kuandika maneno haya 
" #SikuYaLeo Leo #Messi alifika katika klabu ya Barcelona miaka 14 iliopita. Akiwa na Miaka 13.

No comments:

Post a Comment