Tuesday, 30 September 2014

MZEE AWACHAPA FIMBO, RAILA ODINGA, MVURYA HUKO KENYA


Kenya,
Mzee amchapa kiongozi wa CORD, Raila Odinga pamoja na Gavana wa Kwale, Salim Mvurya, hii imetokea wakati wakiwa katika kampeni huko Kinago. Mzee huyo alifanikiwa kuwachapa fimbo moja Raila na Salim kabla ya kuzuiwa na security. 

CHEKI VIDEO HII

Source: NTV Kenya

No comments:

Post a Comment