Thursday, 11 September 2014

RONALDINHO APATA VISA, TAYARI KUANZA MAISHA MAPYA YA SOKA KATIKA NCHI NYINGINE

Ngwiji wa Brazil, Ronaldinho Gaucho amethibitisha kupata visa  yakutua nchini Mexico kupitia akaunti yake ya Instagram, Maisha yake ya soka yanageukia huko kwa sasa mara baada ya kusajiliwa Queretaro FC, Dinho amepewa namba 49 mgongoni ambayo yeye hiita namaba ya bahati kwake, na pia alikaririwa akisema kwamba anaomba namba hio imtendee haki kama zamani ......

Mchezaji huyo aliweka picha hii na kuandika maneno haya...

"Visa mkononi!! Tayari kuanza kufanya kazi nchini Mexico!! Sasa ni muda wa kwenda Queretaro na kuanza Mazoezi!! Gallos!! #RonaldhinhoEnMexico"


No comments:

Post a Comment