Tuesday, 7 October 2014

DRAKE MATATIZONI KISA MWANAMKE

Drake Stripper Threatened

Stripa anaejulikana kwa jina la Jhonni Blaze amejaza ripoti polisi kuhusu Drake, akilalamika kwamba timu ya Drake imemtishia maisha baada ya yeye kusema kwamba alishawahi kufanya mapenzi na Drake. Polisi wamewambia mtandao wa TMZ kwamba wameshanza uchunguzi kuhusu swala hilo ila bado hawaja sema kama ni Drake mwenye.


No comments:

Post a Comment