Wednesday, 1 October 2014

KIMENUKA NDOA YA DADA YAKE DIAMOND PLATNUMZ, AFUNGUKA VIBAYA MNO HUKO INSTAGRAM

Petit na Esma siku yakufunga ndoa

Ni wiki kadha zimepita tangu Esma Platnumz ambae ni dada wa msanii Diamond Platnumz afunge ndo na Petit Man. Mengi yalisemwa baada ya ndoa kufungwa, ila jana (30.9.2014) Esma Platnumz alifunguka vibaya mno kwa kutuma ujumbe kwa wanaosema maneno maneno kuhusu ndoa yake... Soma alicho andika, maneno hayo yaliambata na picha ya mume wake


No comments:

Post a Comment