.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MCHEZAJI AFARIKI AKISHANGILIA GOLI LAKE


Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehekea bao lake kwa staili ya kuruka sarakasi.
Mchezaji huyo alikua na umri wamiaka 23 na alijeruhi uti wake wa mgongo baada ya kutua vibaya uwanjani wakati akisherehekea bao lake la kusawazisha kwa timu yake ya  Bethlehem Vengthlang FC dhidi ya Chanmari West FC.

Biaksangzuala alikimbizwa hospitalini na kufanyiwa upasuaji lakini baadaye alifariki.
Mechi hiyo ambapo alipata jerehe la mgongo, ilikuwa mechi muhimu katika ligi ya nchi hiyo.
Taarifa ilitolewa pia kwenye  kwa mtandao wa Facebook katika kurasa ya ligi kuu ya india,  :''imekuwa siku yenye huzuni kubwa kwa ligi ya Mizoram na kifo cha mchezaji wetu kimetushtua sana pamoja na wachezaji wenzake,wachezaji wa soka na mashabiki waMizoram. ''
"Peter alikuwa mchezaji mzuri namilizni mzuri sana, na pia alikuwamchapa kazi.''
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad