Monday, 13 October 2014

MICHAEL ESSIEN AKUNUSHA KUAMBUKIZWA EBOLA


Baada ya kuripotiwa kuugua ugonjwa wa EBOLA - hatimaye kiungo wa kimataifa wa Ghana Micheal Essien amejitokeza na kusema yeye ni mzima wa afya - hajaathirika na ugonjwa huo. aliandika maneno hayo kupitia akaunti yake ya Instagram 

No comments:

Post a Comment