Friday, 3 October 2014

PICHA ZA KWANZA ZA BIRTHDAY YA DIAMOND PLATNUMZ (2.10.2014)










Mashabiki Watano waliojishindia kadi ili kuwawakilisha mashabiki wengine wote






Diomond Platnumz akiwa na mpenzi wake Wema Sepetu kwenye Red Carpet Golden Jubilee kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa Oct 2, 2014.

Mahaba Niuwe: Wema Sepetu akimpeti peti Diamond wakiwa ndani ya mjengo wa Golden Jubilee kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Diaomond Platnumz












No comments:

Post a Comment