Wednesday, 15 October 2014

SNOOP DOGG AINGIA KATIKA VITA YA MANENO HUKO INSTAGRAM NA MWAMUZIKI HUYU MAARUFU WA KIKE. MKANDA MZIMA UPO HAPA

Iggy Azalea hajapendezwa na utani wa Snoop Dogg. Hivi karibuni, Snoop alipost picha ya utani (meme) kwenye ukurasa wake wa Instagram inayomuonesha mwanamke albino na kuandika: “Iggy Azalea No Make Up.”


Zifatazo ndo post alizojibu mwamuziki Igg Azalea, ila walikua
wanatupiana maneno kila mtu kwenye account yake, baada ya hizi za iggy nimekuwekea za Snoop Dogg ambazo utaziona chini ya posts za Iggy



Post za Snoop Dogg zinaanzia hapa 












No comments:

Post a Comment