Tuesday, 14 October 2014

TAHADHARI: WAKALA WA TIGO PESA ATAPELIWA VIBAYA, MCHEZO MZIMA HUU HAPA



Kwa mawakala wote:-Hakuna siku ambayo sitasahau maishani mwangu ni siku ya tarehe 29 septemba 2014 mteja wa tigo pesa alikuja kuweka pesa kwenye akaunti yake ya tigo pesa alitoa pesa kiasi cha laki sita zikiwa zote ni elfu kumi na elfu sita zikiwa ni pesa halali za kitanzania baada ya kumwekea kwenye akaunti yake mteja aliondoka.Baada ya robo saa pesa yote aliyonipa ilibadilika ikawa ni noti za elfu mbili ambazo jumla ya elfu tisini na noti tatu za elfu kumi.Ushauri kwa mawakala wote wajiadhari na huyu kijana hatari ni kijana mwenye umri kati 25 na 30,ni mwenye rangi ya maji ya kunde na mtanashati......tafadahilini jiadhari sana na watu kama hawa....ukiona share na mwenzio

No comments:

Post a Comment