lemutuz_nationOk jana Saa 2 Asubuhi Radio Times FM walinipigia simu wakitaka NIWASAIDIE kusambaza press realese yao ya Supposedly Hukumu ya mahakama ya kuwazuia Clouds kumtumia Davido...nikawajibu kwamba I am part of Clouds siwezi kuhusika na anything against my people....nikawaaambia kwamba in my opinion wangeacha wasiitoe kwa sababu no body in the public alijua kwamba kuna hiyo kesi na pili haitawasaidia kuwanyanyua Times FM wananchi wanataka burudani sio hukumu za mahakama kuzuia burudani......mchana Davido akatokea na kusema atapiga na akapiga kweli usiku....NOW NAOMBA KUWAULIZA TIMES FM baada ya yote yaliyotokea HOW DO YOU FEEL NOW? I mean mimi nilidhani hizi CHUKI NA WIVU tunafanyiana sisi MASIKINI TU hata nyie na tunaambiwa boss wenu ana USD $ 560 Million na Forbes hivi unaweza kuwa na mahela yote hayo na bado ukawa na roho ya kikorosho kama sisi hohehahe? I mean nilimuuliza boss wa Clouds on this ishu akaniambia MAHAKAMA IPO KISUTU SIO MITANDAONI....maana yake ni labda mahakama iliyomzuia Davido ni ya Mitandaoni wao hawakupewa stop order na Mahakama ya Kisutu kama ambavyo ingetakiwa kama ingekuwa kweli, Times FM hii aibu mtaifichia wapi? Roho mbaya ya nini wakati kila.mtu anatafuta pesa tu? Sasa mnatufundisha nini Wananchi na hizi Roho za kimasikini? JAMANI.WABONGO TUWACHENI HIZI GADEMU FITINA NA UJINGA...Times Fm siwajui sana ila jana MMECHEMKA SANA...na naomba niwaambie kwamba kumbe ndio maana Radio yenu ipo ipo tu kumbe mnaongozwa na Roho mbaya poleni sana ila sisi WANANCHI tunachotaka ni BURUDANI sio MAHAKAMA KUZUIA OUR GADEMU BURUDANI....so it does not matter nani analeta BURUDANI we just want GADEMU BURUDANI na jana tumeipata le mazafantazzz! ASUBUHI NJEMA! - le Mutuz
"Times FM wananchi wanataka burudani sio hukumu za mahakama kuzuia burudani" lE MUTUZ AFUNGUKU KUHUSU ISSUE YA DAVIDO NA TIMES FM

0 comments :
Post a Comment