MISS TANZANIA PART 2.
A
Baada ya kuvuliwa taji aliyekuwa miss Tanzania Sitti mtemvu kwa kughushi umri...nafasi ya miss Tanzania imenyakuliwa na Mshindi wa pili Lilian Kamaziama...lk mshindi huyu wa pili naye inasemekana sio raia wa Tanzania ni mnyarwanda. LILIAN nini mtoto wa generali wa jeshi KAMAZIAMA....ambaye inasemekana sio mtanzania ni mnyarwanda na mmoja wa makamanda na jasusi wa jeshi la kinyarwanda aliyepenyezwa na raisi Kagame. ....
Sasa wewe Lilian ki roho safi km kuna lolote umelificha tunaomba u pasi hcho kijiti kwa anaefuata kbla hutujaanza kufichua na mengne ambyo hayajulikani!...yaliyompata mwenzio nazan umejionea mwenyewe--
Ata km taji anastail mshindi namba kumi atalipata tu...tutapita kwa mmoja mmoja mda tunao mpaka ifike miss world tunatukua tumeshampata mwenye haki yake.....-HAKI mwanzo mwisho-
CHANZO ; BLOGu YA WANANCHI
0 comments :
Post a Comment