.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

VIDEO YA NGONO YA MSANII USHER RAYMOND YATAFUTIWA MTEJA KIMAGENDO, MUUZAJI ATAFUTWA

Usher Sex Tape
Kuna Mtu anajaribu kuuza video ya ngono ya msanii Usher Raymond, na kile ambacho akijui au anajua ni kwamba, anacho uza ni mali ya wizi na inaweza kumfanya apelekwe jela.

1111_usher_doc_launch

TMZ walifupisha habari hii kwa kusema ... Mtu alivunja akaingia  ndani ya gari ya Usher huko ATL mnamo mwaka 2010 na aliiba, Laptop mbili, kamera mbili za video na kujitia cha pesa.

Ikatokea ...Video ya ngono ikimshirikisha Usher na mke wake Tameka Raymond ilikuwa kwenye moja ya Laptops.

Mtu alijaribu kuuza video hio muda mfupi baadae ya muda mfupi lakini hakuna mtu aliegusa . Lakini katika siku chache zilizopita kuna mtu ameifufua video hio tena.

Yeyote anae jaribu kuuza si kwenda kwa makampuni ya  filamu za watu wazima ... hakuna njia kampuni hizo zinaweza kugusa  kwa sababu wao wanahitaji kupata ridhaa kutoka kwa Usher.

            
Mwanasheria maarufu Mark Geragos ndo anamuwakilisha Usher na juu ya kuwinda kupata mtu ambaye anataka kutumia video hio kwa ajili ya kupata pesa.

Like ourfacebook Page


Source: TMZ
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad