Kwa Mujibu wa Caption alioweka Zari katika picha alizokuwa akipost kwenye mtandao wa Instagram akiwa na Diamond Platnumz, kwamba wamekutana Airport na ikatokea wakawa wamepangwa seat za karibu, Ila leo hii zimetoka picha zingine za zari akiwa na mkali wa Ngololo, Diamond Platnumz wakiwa katika ufukwe wa bahari huku wakiwa wame kumbatiana kimahaba, Ikumbukwe kwamba Uhusiano kati ya Diamond na Wema Sepetu inasemekana unayumba ndani kwa ndani.
Je yawezekana Diamond ndo ameamua Kuvunja Ukimya au ndo (new song)
Unaweza kutoa maoni yako kwenye comments (chini) au Facebook page yetu:
 |
| Hii picha ameweka Zari leo kwenye Instagram account yake |
 |
| Ufukweni |
 |
| Ukukweni |
 |
| Wakiwa Kwenye Ndege |
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment