Monday, 15 December 2014

CEO Wa Facebook atangaza kuweka Button Ya ‘DisLike’ kwenye mtandao wa Facebook.


CEO Wa Facebook  Mark Zuckerberg ametangaza rasmi kuwa kuna mchakato wa kuweka ‘Kitufe Ya Kutopenda‘ [Dislike] kwenye mtandao huu wa kijamii wa facebook.
Mark anasema kunahitaji la kufanya hivyo ili kuwapa nafasi watu kuonyesha hisia zao zaidi kuhusu post fulani. Kitufe cha [Like] kinaruhusu mtu kuonyesha hisia chanya tu kuhusu post ya mtu.
Dislike-button-on-facebook
Mark anasema “watu huweka vitu vya kuhuzunika na masikitiko ila sababu hakuna Kitufe cha kuonyesha masikitiko watu hubonyeza [Like]

No comments:

Post a Comment