Akizungumza na mwandishi wetu, Dorice alisema kuwa siku zote mrembo anapoingia kwenye shindano hilo madhumuni yake ni kushinda na si vinginevyo sasa inapotokea akaanguka maumivu yake yanatesa yanaweza kumkosesha amani kwa muda mrefu.
“Asikwambie mtu kabisa kwenye mashindano ya u-miss ni stress tupu jamani kuanzia unaanza kujifunza hadi pale anapotangazwa mshindi halafu wewe ukakosa taji, inauma sana,” alisema Dorice.
0 comments :
Post a Comment