Zari aanda gari hili la kifahari litakalo mpokea DiamondPlatnumz nchini Uganda
Masaa machache kutoka sasa Diamond Platnumz kutua nchini Uganda ili kukinukisha katika show ya Zari the boss Lady, show hio inayotarajiwa kuhudhuriwa na mastaa tofauti.
Diamond platnumz amesindikizwa airport na mama yake mzazi, sio jambo geni kwa mama kumpeleka Airport kwani tumesha shuhudia mara kadha akiwa anaenda kwenye show za nje.
Zari ameonesha gari hili la kifahari litakalo mpokea DiamondPlatnumz
No comments:
Post a Comment