Thursday, 29 January 2015

Breaking News: Malaysia watoa tamko kuhusu ndege iliopotea baharini Mnamo Marchi 2014

Serikali ya Malaysia imetangaza rasmi upotevu wa MH370 kwamba ni ajali na  kwamba kulikuwa hakuna nusurika (wote wamefariki). 

Viongozi wanasema kuwa operesheni ahueni  inaendelea lakini katika watu 239 waliokuwa Ndani ya ndege sasa wote wanadhaniwa wamekufa.

Mahali ilopo ndege hio bado haijulikani licha ya utafutaji wakimataifa kutumika katika kuisaka katika kusini ya Bahari ya Hindi.

Source: #BBCNEWS 

No comments:

Post a Comment