Vijana 119 ambao walikamatwa katika msako wa Panya Road Wameachiwa na Polisi baada ya Kukosa Ushahidi wa Moja kwa Moja ambao unawahusisha na tukio hilo ..Kamanda wa Polisi kanda ya Dar salaam Kova amesema japo wamewaachia wataendelea kufuatilia nyendo zao huko mtaani ,
Pamoja na Kuwaachia hao kamanda Kova Amesema Vijana 959 wamepandishwa mahakamani kwa tuhuma hizo za kujihushisha na kikundi cha panya Road
Pamoja na Kuwaachia hao kamanda Kova Amesema Vijana 959 wamepandishwa mahakamani kwa tuhuma hizo za kujihushisha na kikundi cha panya Road
0 comments :
Post a Comment