.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Anusurika Kufa baada ya gari kuzama kwenye Bahari,akili yaziada yatumika

The petrified woman was squashed up against the rear window as the front end of the car was rapdily submerging into the Waitemata Harbour in Auckland, New Zealand, at 3pm on Tuesday

Mwanamke mwenye bahati, pia waweza kusema siku yake haijafika ameokolewa na MaAskari wawili baada ya gari yake aina ya BMW kuzama kwenye maji baada ya kugonga jiwe kwenye sehemu ya Parking katika bandari iitwayo "Waitemata" iliyoko huko Auckland, New zealand 

Fortunately witnesses called emergency services as quick-thinking policemen arrived and sprung straight into action by jumping into the water with one officer attempting to smash the window with a baton

Dada huyo alisaidiwa na mmoja wa mashuhuda aliepiga simu ya dharura naMaAskari Paul Watts pamoja na Simon Russell walifika na kukadiria kwamba mwanamke huyo amebakiwa na dakika 1 mara baada yakufika sehemu yatukio, ndipo wakaamua kutumia moja ya jiwe pembeni mwa bandari hio ili kupasau kioo nyuma kusudi dada huyo apite kabla ya gari kuzama kabisa .  

Officers Paul Watts (left) and Simon Russell (right) then dragged the 63-year-old woman from the car to safety

Mwanamke huyo alikua amejibana katika dirisha la nyuma akiwa anakosa hewa huku upande wa mbele ukiendelea kuzama taratibu kabla ya MaAskari hao kuja kumuokoa 

The sunken BMW is frightening proof that the woman would not have made it without the help of the quick-thinking policemen

Maskari hao waliweza kumtoa na kumfikisha nchi kavu ili kupewa Huduma yakwanza.

The woman is lucky to be alive after the frightening accident where her car careered into the harbour

Unaweza kuona jinsi gani gari lilivyo halibika mara baada yakutolewa ndani ya maji .

A tow truck starts to pull the car out of Waitemata Harbour in Auckland as a police officer watches on


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad