Captain Peter ambae ndo baba, amefanya kazi yakurusha ndege ya Thomas Cook kwa zaidi ya miaka 30, mnamo mwaka 2009 alimu Inspire binti yake kupenda kurusha ndege.
Binti huyo alikuwa akirusha ndege aina ya Airbus huku baba yake akirusha aina ya Boeing kwaio kufanya kazi pamoja ikawa ngumu
Wakiwa kwenye safari yao yakwanza kutoka "Birmingham kuelekea "Tenerife" Mr Elliot aliwatangazia abiria kwamba siku hio wamepanda "Special Flight" kwani ni safari yake yakwanza akiwa na binti yake kama Co-Pilot
Binti huyo amekuwa akirusha ndege kwa miaka 6 sasa na hajawahi kupata kazi yakurusha ndege pamoja na baba yake mzazi ambae ndo kioo chake kwenye urushaji ndege tangu akiwa na miaka 8.
"Ni ndoto kubwa kwangu iliofanikiwa mimi kurusha ndege mmoja na baba yangu." Alisema Laura Ellliot.
Kurusha ndege hio pamoja na baba yake haikuwa imepangwa bali ilitokea tu na Laura anatamani arushe tena ndege pamoja na baba yake katika siku za karibuni kabla baba yake hajastaafu.
CV: SENIOR OFFICER LAURA ELLIOTT
2006 - Graduated from Birmingham University
2007 - 2008- Training in Spain at Flight Training Europe Jerez
2009 – Joined Thomas Cook as a Cadet
Nov 2011 – Promoted to Senior First Officer at Thomas Cook
Dec 2013 – Went to fly for Monarch for one year
Dec 2014 – Returned to Thomas Cook
CV: TRAINING CAPTAIN PETER ELLIOTT
1977 – Graduated from Manchester University
1979-81 – Flight School training at Hamble Air Training College after working as accountant
1985 - Joined DanAir
1992 - Joined Airtours which became MyTravel and merged with Thomas Cook.
2014 - Retrained to fly an Airbus craft, similar to the craft his daughter flies
Feb 2015 - First flight with his daughter
0 comments :
Post a Comment