Monday, 23 February 2015

Birthday party ya mtoto wa Snoop Dogg ni Noma, Cheki picha na Video hapa


Baada ya kuangalia hii Video unaweza kutamani ungekuwa mtoto wa Snoop Dogg ili uandaliwe style hii ya  "Coming To America" katika sherehe yako yakutimiza miaka 18 . haha


Mtoto wa Snoop Dogg ajulikanae kama Cordell Broadus ambae ni staa nchini marekani kwenye mchezo wa "American Football" siku ya jana alitimiza miaka 18, kusherekea huko Baba yake aliandaa sherehe kubwa ambapo alipojifanya yeye ndo mfalme wa Zamunda na kuigiza kipande cha "Coming To America" scene maaharufu ya ndoa. Walikuepo wachezaji, maua... Shuka Cini Kuangalia Video









No comments:

Post a Comment