Sunday, 15 February 2015

Breaking News: Baba mzazi wa msanii DullySykes, "Mzee Sykes" afariki



Blog ya Vijana ingependa kutoa pole kwa Familia nzima ya Mzee Sykes na watu wake wakaribu kwa msiba wa Mzee wetu "Mzee Sykes." Mwenyezi Mungu alilaze roho yake mahali Pena Peponi... Amen 

No comments:

Post a Comment