Tuesday, 17 February 2015

Gari ya Bob-Marley aina ya Land Rover ya Mwaka 1976 yafufuliwa..


Hivi ndio mwonekano wa Land Rover aliyokua akiitumia Bob Marley ilivyokua ikionekana kwenye makumbusho ya masanii huyo nchini Jamaica.

Mwonekano wa ndani\Land Rover hiyo inavyoonekana kwa sasa baada ya kufamyiwa matengenezo upya na kampuni ya Land Rover ya Jamaica kwa ushirikiano na familia ya Bob Marley ambaye kama angekua hai angekua amefikisha miaka 70 Februari 7 mwaka huu.

Mwanekano mpya wa gari hiyo. Pamoja na mwonekano mpya pia gari hiyo linaendesha kama jipya.

Mwonekano wa Ndani

Tuachie Comment Yako 
kisha
Usisahau kutufollow ili habari  kama hizi zisikupite Pindi tu tatakapo ziweka.

Like our  Facebook page CLICK HERE
Follow Twitter CLICK HERE
Follow Instagram CLICK HERE

No comments:

Post a Comment