Friday, 27 February 2015

Idris Sultan: "Siwezi kuja na kuondoka, nataka kufanya mabadiliko kwaio nimejenga Sulta...."



Muwakilishi kutoka Tanzania kwenye Jumba la Big Brother Africa (BBAhotshot) Idris Sultan aliejinyakulia ushindi na kupokea Million 517 za Kitanzania, ametangaza kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram na kueleza juu ya Tour yake ya BigBrotherAfrica yakutembelea nchi zote zilizoshiriki shindano hilo. Pia Idris alieleza juu ya Foundation yake aliofungua ikiwa ni ishara yakurudisha wema wa mashabiki waliompigia kura .......




 Baadhi ya Mashabaki wake walikuwa na haya yakusema juu ya upendo huo




Tuachie Comment yako Juu ya Post hii ya Idris Sultan.........

No comments:

Post a Comment