Saturday, 21 February 2015

Kassim Mganga: "Sijarudi kwa Tale."



Kupitia kipindi cha PlanetBongo kinachorushwa East Africa Radio, Msanii Kassim Mganga alikuwa ana release nyimbo yake mpya ya SUBIRA asubuhi ya Leo. 

Kupitia maswali yanayoulizwa na mashabiki, Msanii huyo aliulizwa kama bado yupo chini ya Manager Babu Tale. 

"Je umerudi kwa Tale." aliuliza Shabiki

Kassim Mganga alijibu swali hilo kwa kifupi na kusema,
 "Sijarudi kwa Tale, nimeondoka TipTop miaka 4 sasa ila kikazi tubado wanangu, natembelea sana." alisema Kassim Mganga 

No comments:

Post a Comment