Monday, 9 February 2015

Manchester City yaipongeza Ivory Coast





klabu ya Manchester City inayoshirki Ligi Kuu Uingereza imeipongeza Timu ya Taifa ya Ivory Coast baada ya kunyakua ubingwa wa African Cup of Nations dhidi ya Ghana Mechi hio ilichezwa mjini Bata, Equatorial Guinea, hapo Jana (Jumapili) Feb. 8, 2015



Yaya Youre akipiga mkwaju wa Penalti..  


Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia baada ya Captain wao Yaya Toure Kufunga Penalti.


Captain Yaya Toure akishangilia pamoja na wachezaji wenzake baada ya Kunyakua Kombe 


Captain Yaya Toure akipokea Kombe kutoka kwa Raisi wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema




 

No comments:

Post a Comment